Ufafanuzi wa kiarifu katika Kiswahili

kiarifu

nomino

Sarufi
  • 1

    Sarufi
    sehemu ya sentensi yenye kitenzi, shamirisho na chagizo.

Matamshi

kiarifu

/kijarifu/