Ufafanuzi wa kiazi sukari katika Kiswahili

kiazi sukari

  • 1

    mmea ambao mzizi wake hutengeneza kiazi kitamu kinachotumiwa kutengenezea sukari.

    bitiruti