Ufafanuzi wa kibaazi katika Kiswahili

kibaazi

nominoPlural vibaazi

  • 1

    mti utumikao kwa dawa ya upele.

  • 2

    mti ambao majani yake agh. hutumiwa kuwa ni sumu ya kuulia samaki.

    kiyuyu, utupa

Matamshi

kibaazi

/kiba:zi/