Ufafanuzi wa kibadala katika Kiswahili

kibadala

nominoPlural vibadala

  • 1

    neno linalotofautiana kidogo na neno jingine kimatamshi lakini lenye maana sawa na hilo.

    ‘‘Blanketi’ ni kibadala cha ‘blangeti’’
    dhamiri

Asili

Kar

Matamshi

kibadala

/kibadala/