Ufafanuzi wa kibaka katika Kiswahili

kibaka

nominoPlural vibaka

  • 1

    mtu mwenye tabia ya kupora vitu, agh. kwa watu wapitao njiani.

Matamshi

kibaka

/kibaka/