Ufafanuzi wa kibanda katika Kiswahili

kibanda

nominoPlural vibanda

  • 1

    kijumba kidogo kinachotumiwa kwa shughuli maalumu.

    ‘Kibanda cha kuku’
    ‘Kibanda cha uani’

Matamshi

kibanda

/kibanda/