Ufafanuzi wa kibanio katika Kiswahili

kibanio

nominoPlural vibanio

  • 1

    kitu kitumiwacho kushikilia kitu k.v. nguo au nywele.

    ‘Kibanio cha nywele’
    ‘Kibanio cha kaa la moto’
    boi

Matamshi

kibanio

/kibanijɔ/