Ufafanuzi wa Kibantu katika Kiswahili

Kibantu

nominoPlural Kibantu

  • 1

    kundi kubwa la lugha za Kiafrika zenye mfumo wa ngeli za majina na viambishi, ambazo zinazungumzwa kusini ya Jangwa la Sahara k.v. Kiswahili, Kizulu, Kirundi, n.k..

Matamshi

Kibantu

/kibantu/