Ufafanuzi wa kibarango katika Kiswahili

kibarango

nomino

  • 1

    fimbo fupi na nene.

Matamshi

kibarango

/kibarangO/