Ufafanuzi wa kibeberu katika Kiswahili

kibeberu

nominoPlural kibeberu

  • 1

    harufu mbaya ya jasho la mtu.

Matamshi

kibeberu

/kibɛbɛru/