Ufafanuzi wa kibedi katika Kiswahili

kibedi

nominoPlural kibedi

  • 1

    hali ya kuwa na hila, udanganyifu, ujanja, n.k..

    ‘Wenzangu wamenifanyia kibedi’

Matamshi

kibedi

/kibɛdi/