Ufafanuzi wa kibete katika Kiswahili

kibete

nomino

  • 1

    mtu au mnyama aliye mdogo au mfupi kuliko ilivyo kawaida.

    mbilikimo, kibirikizi, kijimo, kidurango, kisheta

Matamshi

kibete

/kibɛtɛ/