Ufafanuzi wa kibiringo katika Kiswahili

kibiringo

nominoPlural vibiringo

  • 1

    kitu cha kuchezea watoto kitengenezwacho kwa uchane wa kuti la mnazi, hufanywa duara na kuwekwa chini ili kichukuliwe na upepo kama kigurudumu.

  • 2

    kitu kinachobingirika.

Matamshi

kibiringo

/kibiringɔ/