Ufafanuzi wa kibirinzi katika Kiswahili

kibirinzi

nominoPlural vibirinzi

  • 1

    kitu kama panka kitengenezwacho kwa chane pana za kuti, miyaa, plastiki, n.k. ambacho watoto hukimbiza dhidi ya upepo ili kizunguke.

    kibaramwezi, kititia

Matamshi

kibirinzi

/kibirinzi/