Ufafanuzi msingi wa kibla katika Kiswahili

: kibla1kibla2

kibla1

nominoPlural kibla

Kidini
 • 1

  Kidini
  upande wanaoelekea Waislamu wanaposali.

 • 2

  Kidini
  sehemu ya mbele ya msikiti anaposalishia imamu.

  mihirabu

 • 3

  Kidini
  Kaaba iliyoko Makka.

Matamshi

kibla

/kibla/

Ufafanuzi msingi wa kibla katika Kiswahili

: kibla1kibla2

kibla2

nominoPlural kibla

 • 1

  upande wa kaskazini.

  kaskazi, shimali

Matamshi

kibla

/kibla/