Ufafanuzi wa kibonzo katika Kiswahili

kibonzo

nominoPlural vibonzo

  • 1

    picha inayochorwa, agh. magazetini, ambayo hueleza wazo kwa namna ya kuchekesha.

    katuni

Matamshi

kibonzo

/kibOnzO/