Ufafanuzi wa kibubutu katika Kiswahili

kibubutu

nominoPlural vibubutu

  • 1

    kipande cha mkia au kiungo cha mwili kilichobakia baada ya kukatwa.

    gutu

Matamshi

kibubutu

/kibubutu/