Ufafanuzi wa kiburudisho katika Kiswahili

kiburudisho

nominoPlural viburudisho

  • 1

    kitu kinachostarehesha.

  • 2

    kinywaji cha kuchangamsha.

Matamshi

kiburudisho

/kiburudiʃɔ/