Ufafanuzi msingi wa kibweshu katika Kiswahili

: kibweshu1kibweshu2

kibweshu1

nomino

  • 1

    kitu cha kudharaulika.

Matamshi

kibweshu

/kibwɛʃu/

Ufafanuzi msingi wa kibweshu katika Kiswahili

: kibweshu1kibweshu2

kibweshu2 , kibweshuna

nomino

  • 1

    mtu wa kudharaulika.

Matamshi

kibweshu

/kibwɛʃu/