Ufafanuzi wa kicha katika Kiswahili

kicha

nomino

  • 1

    kifungu cha ukindu au mboga kilichofungwa pamoja.

  • 2

    bunda la funguo.

Matamshi

kicha

/kit∫a/