Ufafanuzi wa kichaani katika Kiswahili

kichaani

nomino

  • 1

    mmea ulionyooka na mgumu uotao kiasi cha inchi 6 mpaka 18 na wenye miba nchani na maua mekundu.

Matamshi

kichaani

/kit∫a:ni/