Ufafanuzi wa kicheko katika Kiswahili

kicheko

nominoPlural vycheko

  • 1

    tendo la kucheka.

    ‘Amempa adui kicheko’

Matamshi

kicheko

/kit∫ɛkɔ/