Ufafanuzi wa kichimbakazi katika Kiswahili

kichimbakazi

nominoPlural vychimbakazi

  • 1

    aina ya pepo mdogo anayeaminiwa kuwa anapitapita majiani na majaani kupokea au kuleta ujumbe anaopewa; tarishi wa pepo wakubwa.

Matamshi

kichimbakazi

/kit∫imbakazi/