Ufafanuzi wa kichocho katika Kiswahili

kichocho

nominoPlural kichocho

  • 1

    ugonjwa wa kukojoa damu unaosababishwa na vijidudu vinavyokaa katika konokono wanaokaa katika maji baridi yaliyotuama.

Matamshi

kichocho

/kit∫ɔt∫ɔ/