Ufafanuzi wa kichochoro katika Kiswahili

kichochoro, uchochoro

nomino

  • 1

    njia nyembamba iliyoko baina ya nyumba mbili.

  • 2

    njia nyembamba ipitayo vichakani.

    ujapojapo, njia