Ufafanuzi wa kichomanguo katika Kiswahili

kichomanguo

nominoPlural vychomanguo

  • 1

    mmea wa msimu wenye maua ya manjano na mbegu ambazo huchoma na kubakia kwenye nguo.

Matamshi

kichomanguo

/kit∫OmanguwO/