Ufafanuzi wa kichungi katika Kiswahili

kichungi

nominoPlural vychungi

  • 1

    ncha ya sigara ambayo ina kichujo cha kuzuia sumu iliyo katika tumbaku isiingie kinywani na mapafuni mwa mvutaji.

Matamshi

kichungi

/kit∫ungi/