Ufafanuzi msingi wa kichwa katika Kiswahili

: kichwa1kichwa2kichwa3kichwa4

kichwa1

nominoPlural vychwa

 • 1

  sehemu ya mwili wa mnyama au binadamu iliyoshikana na shingo na ambayo ina ubongo, mdomo, pua, macho, masikio na nywele.

  methali ‘Kichwa cha kuku hakihimili kilemba’
  rasi

Ufafanuzi msingi wa kichwa katika Kiswahili

: kichwa1kichwa2kichwa3kichwa4

kichwa2

nominoPlural vychwa

 • 1

  injini ya garimoshi ambayo hukokota mabehewa.

  ‘Kichwa cha garimoshi’

Ufafanuzi msingi wa kichwa katika Kiswahili

: kichwa1kichwa2kichwa3kichwa4

kichwa3

nominoPlural vychwa

 • 1

  maneno machache yaliyoandikwa juu ya habari au taarifa.

  ‘Kichwa cha habari’

Ufafanuzi msingi wa kichwa katika Kiswahili

: kichwa1kichwa2kichwa3kichwa4

kichwa4

nominoPlural vychwa

 • 1

  mtu anayeongoza shughuli fulani katika familia au jamii.

  kiongozi

Matamshi

kichwa

/kit∫wa/