Ufafanuzi wa kichwamaji katika Kiswahili

kichwamaji

nominoPlural vychwamaji

  • 1

    mtu ambaye akili yake haitoshi kitabia, hivyo basi hujifanyia mambo yanayoenda kinyume na matarajio.

Matamshi

kichwamaji

/kit∫wamaʄi/