Ufafanuzi wa kidadisi katika Kiswahili

kidadisi

nominoPlural vidadisi

  • 1

    orodha ya maswali ya utafiti ambayo majibu yake hutolewa kwa maandishi.

    dodoso

Matamshi

kidadisi

/kidadisi/