Ufafanuzi wa kidahizo katika Kiswahili

kidahizo

nominoPlural vidahizo

  • 1

    neno linaloingizwa katika kamusi kwa chapa iliyokoza, mara nyingine rangi, kubwa na tofauti kidogo.

  • 2

    neno kuu katika kamusi.

Matamshi

kidahizo

/kidahizO/