Ufafanuzi wa kidato katika Kiswahili

kidato

nominoPlural vidato

 • 1

  mkato wa kupandia mnazi.

 • 2

  kipandio au kibao cha kupandia.

  ‘Kidato cha ngazi’
  daraja

 • 3

  darasa katika shule za sekondari.

  fomu

Matamshi

kidato

/kidatɔ/