Ufafanuzi wa kidete katika Kiswahili

kidete

kielezi

  • 1

    kwa hali madhubuti au imara.

    ‘Tunapaswa kusimama kidete katika kazi za kujenga taifa’

Matamshi

kidete

/kidɛtɛ/