Ufafanuzi wa kidevu katika Kiswahili

kidevu

nominoPlural videvu

  • 1

    ncha ya chini ya taya ambayo agh. huota ndevu.

    methali ‘Kidevu kamwambia ndevu, kila apataye huwa mwerevu’

Matamshi

kidevu

/kidɛvu/