Ufafanuzi wa kidhibitimbali katika Kiswahili

kidhibitimbali

nominoPlural vidhibitimbali

  • 1

    kifaa kinachotumika kuendesha chombo kilicho mbali k.v. runinga, redio, mashine, n.k..

    rimota, kiungambali

Matamshi

kidhibitimbali

/kiDibitimbali/