Ufafanuzi wa kidimu katika Kiswahili

kidimu

nomino

  • 1

    kuku mwenye manyoya yaliyosimama.

    kinyavu, mangisi, nungu, kinyaunyau

Matamshi

kidimu

/kidimu/