Ufafanuzi wa kidimumsitu katika Kiswahili

kidimumsitu

nomino

  • 1

    mti wa porini uzaao ndimu mwitu.

Matamshi

kidimumsitu

/kidimumsitu/