Ufafanuzi wa kidole cha shahada katika Kiswahili

kidole cha shahada

  • 1

    kidole cha kuashiria.

Ufafanuzi wa Kidole cha shahada katika Kiswahili

Kidole cha shahada

  • 1

    kidole cha kwanza baada ya kidole gumba na kabla ya cha kati.