Ufafanuzi wa kidomo katika Kiswahili

kidomo

nominoPlural vidomo

  • 1

    mtu mwenye tabia ya kuchaguachagua chakula.

    machagu, mnywanywa

Matamshi

kidomo

/kidOmO/