Ufafanuzi wa kidonda katika Kiswahili

kidonda

nominoPlural vidonda

  • 1

    mkato au mchubuko katika mwili ambao umeshajenga usaha.

Matamshi

kidonda

/kidOnda/