Ufafanuzi msingi wa kidonge katika Kiswahili

: kidonge1kidonge2

kidonge1

nominoPlural vidonge

 • 1

  tembe ya dawa.

  ‘Kidonge kimoja cha asprini’

 • 2

  kitu kilichovimba katika mwili.

 • 3

  kitu, agh. kidogo, kilicho mviringo.

Matamshi

kidonge

/kidOngɛ/

Ufafanuzi msingi wa kidonge katika Kiswahili

: kidonge1kidonge2

kidonge2

nominoPlural vidonge

 • 1

  kijigurudumu cha uzi.

Matamshi

kidonge

/kidOngɛ/