Ufafanuzi msingi wa kidoto katika Kiswahili

: kidoto1kidoto2

kidoto1

nominoPlural vidoto

  • 1

    kipande cha nguo maalumu cha kufungia ngamia machoni wakati anaposindika au kusafiri jangwani.

Matamshi

kidoto

/kidOtO/

Ufafanuzi msingi wa kidoto katika Kiswahili

: kidoto1kidoto2

kidoto2

nominoPlural vidoto

  • 1

    kitu kama kibakuli kinachotengenezwa kwa chane za miyaa au mianzi na hutumiwa kwa matumizi mbalimbali.

Matamshi

kidoto

/kidOtO/