Ufafanuzi msingi wa kidu katika Kiswahili

: kidu1kidu2

kidu1

nominoPlural vidu

 • 1

  tundu dogo katika chombo k.v. jahazi ambamo mlingoti huchomekwa.

  kiyunga, kiwida

Matamshi

kidu

/kidu/

Ufafanuzi msingi wa kidu katika Kiswahili

: kidu1kidu2

kidu2

nominoPlural vidu

 • 1

  shimo dogo la kuchezea gololi au kamari.

 • 2

  kishimo katika mchezo wa bao.

Matamshi

kidu

/kidu/