Ufafanuzi wa kidukari katika Kiswahili

kidukari

nominoPlural vidukari

  • 1

    mdudu mdogo anayeishi kwa kufyonza utomvu wa miti.

Matamshi

kidukari

/kidukari/