Ufafanuzi wa kiegemeo katika Kiswahili

kiegemeo

nominoPlural viegemeo

  • 1

    sehemu ya kiti au kochi iliyotengenezwa kwa ajili ya kuegemea; mahali pa kuegemea.

Matamshi

kiegemeo

/kijɛgɛmɛwɔ/