Ufafanuzi wa kielekezi katika Kiswahili

kielekezi

nominoPlural vielekezi

  • 1

    kitu au jambo linaloashiria kitu au jambo.

    ishara

Matamshi

kielekezi

/kijɛlɛkɛzi/