Ufafanuzi msingi wa kielezi katika Kiswahili

: kielezi1kielezi2

kielezi1

nominoPlural vielezi

Matamshi

kielezi

/kijɛlɛzi/

Ufafanuzi msingi wa kielezi katika Kiswahili

: kielezi1kielezi2

kielezi2

nominoPlural vielezi

Sarufi
 • 1

  Sarufi
  neno linalotumika kuelezea zaidi juu ya kitenzi, kivumishi au kielezi kingine.

  kisifa

 • 2

  Sarufi
  kipashio katika sentensi ambacho hutumika kuelezea jinsi, wakati, mahali na sababu zinazofanya tendo lifanyike.

Matamshi

kielezi

/kijɛlɛzi/