Ufafanuzi wa kifabakazi katika Kiswahili

kifabakazi

nominoPlural vifabakazi

  • 1

    mti ukuao hata kufikia urefu wa kiasi cha mita 12 na wenye maua mekundu na matunda yanayotoa mbegu zenye mabawa.

Matamshi

kifabakazi

/kifabakazi/