Ufafanuzi wa kifai katika Kiswahili

kifai

kielezi

  • 1

    kwa kushikilia moja kwa moja.

    ‘Pumu zimembana kifai’
    mno, barabara

Matamshi

kifai

/kifaji/