Ufafanuzi msingi wa kifani katika Kiswahili

: kifani1kifani2

kifani1

nomino

 • 1

  kitu kinachofanana au kushabihiana na kingine.

  mfano, kinaya

 • 2

  hali ya kufanana kwa watu au vitu.

  lahiki

Ufafanuzi msingi wa kifani katika Kiswahili

: kifani1kifani2

kifani2

nomino

 • 1

  sura

 • 2

  umbo wastani.

  kadiri